Zzero Sufuri its ok Lyrics:
yoh yoh
ni Zzero
Kama source mi ni source
Mi ndio boss Mi ndio Worldboss
(Idriss)
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put up your hands and sing it is okay
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Okay
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put your hands up and sing it is okay
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Okay
Leo today Party we a party Like its holiday
Already in a weekend Call your friends Call me friends and me friends
Nikuikata kata naikata
Nikichocha chocha zinishike
Zinishike hadi zilipuke
Ikate morio bana usishtuke
Form ni liqour chunga kutapika
Kunaeza badilika na zikikushika
Wika na ukiulizwa unasema ni kubambika Na
ukibambika tu unakaribia spika
Si ni ka bash cheki vile wasee wamechrome
Na wako na zote si kunanuka mandom Na
dem akikubamba usiogope bado kumuita
We mkute kimangoto ka umemshika
We mkute na uhakikishe amekuskiza
Mwambie ukweli hata kama hautamuingiza
Mwoneshe skiza, iza Tunaeza enda bado nikubuyie pizza
Si siri si unajua umenimariza
Tukiwa na wewe jo unaweza turiza eeh
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put up your hands and sing it is okay
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Okay
Leo today Party we a party Like its holiday
Already in a weekend Call your friends
Call me friends and dem friends
Cheki, heri mdogo ukienda mbio utaharibu
Hakuna kitu ngumu kujaribu
Mi hukuwa rada ata ka uko mavitu
La muhimu ni kugive thanks kila siku
Si hizi ndo zile moja ya zile siku
Masiku sikuwa najua itaja kuwa Kwanza
nikikumbuka vile nilikuwa nikichomwa na jua
Saa hizo nimeshinda njaa
Zangu mzito nikimwomba anakataa
Stima kwangu kukatwa ju budget ilikuwa ni ya taa
Mboka zote kuruka kazi yeyote sikukataa
Siku hizi mi huishi iko fiti na ninakaa vile inafaa
Nishapunguza ufisi na nikaachanaga tamaa
Siku hizi hadi nina ofisi na nikaandikaga Kamaa
Na ju bado ako na moto itabidi amewauzia makaa
Big up ka una kipaji na unajua unago far
Kaa unapenda kujinice usijifunge

Already in a weekend
Call your friends Call me friends and dem friends
Ati hii ni ya mashada na kuroll ndio janta
Nakuwaga na malori na mapick-up NACADA
Nakuwaga na mabeat ndani ya verse sijai hata
Dagoretti namba mbili si ndio utanipata
Yoh ni kubaa
Zzero Sufuri – its ok
Follow Zzero Sufuri on Instagram: https://www.instagram.com/zzero_sufuri/
Hope you Liked our Zzero Sufuri its ok Lyrics!