MUSIC

Rayvanny – Vumilia

Published

on

Rayvanny Vumilia Lyrics:

Niwe kibatarim ama mwanga wa mshumaa
Kwenye kigiza cha jioni, Pika dona ngangarii
Tulishushie na dagaa, Ukishatoka sokoni

Kisha tufunge safari, Itayo chukuwa masaa
Utokwe jasho mgongoni, Na vile nina machachari
Nikikushika kibaa, Utamu wa dicki nondoni

Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida nadona la chini niambiee(mmh)

Wenye mapesa vogi na ma lamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee

Sambusa kachorii pamia aaee
Tukipata pesa ni sangala
Mchicha mtori pamia aaee
Kama tukikosa tunalala
Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee

Vuumilia iye iye, Vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia, Vuumilia
Vumilia, Vumilia
Kesho tutapata mapenzi

Najua unatamani mama high waist
Make up weaving za dubai na china
Ule pamba nyepesi setaar
Chain ya dhahabu yenye jinnaa

Oooooh, basi mama vumilia
Nakupigania mpenzi subiria
Oooooh, acha kujiinamia
punguza kulia tatusaidi

Ati mapenzi si moyo
Mapenzi ni pesa
Kama kweli masikini yatatutesa
Uchoyo usinipe pressure
Naomba unipendee

Latest Rayvanny Songs!

Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida nadona la chini niambiee(mmh)
Wenye mapesa vogi na ma lamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee

Sambusa kachorii pamia aaee
Tukipata pesa ni sangala
Mchicha mtori pamia aaee
Kama tukikosa tunalala
Kwa hiyo mama usijali

Vumilia iyeeee
Vuumilia iye iye
Vumilia
Kesho tutapata mapenzi

Vumilia Vuumilia
Vumilia Vumilia
Kesho tutapata mapenzi

Rayvanny Vumilia Lyrics

Hope you Liked our Rayvanny Vumilia Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version