oooh no…
oooh Lord have mercy
yeey ee eeh eh
Konde Boy
Let me tell you my story
Nimezaliwa mtwara Tanzania
Huko Kijijini Chitoholi
hapa mjini nimezamia
ndoto zilikuwa kucheza boli
mara ghafla kwa mziki zikahamia
my daddy i’m sorry
Swala tano hukupenda uliposikia
kama utani si nikaanza kuimba
Mungu sasumani nikakutana na simba
akanipiga kampani japo kuna wale hupinga sina kipaji
fitina za ndani ndani mara Hamo anavimba
atapendwa na nani makonde MMakonde wa Tandhahimba
nikajipa imani ipo siku nitashinda maana mola ndo mpaji
eeeh
now I make my paper(my paper)
and I bless my family
pole walonicheka(nicheka)
enzi navaanga kandambili
so..
never, never, never
never, never, never
Give up….
never, never, never
usikate tamaa maana mungu anakuona
never, never, never
never, never, never
Give up….
never, never, never
usikatee tamaa angaika kila kona
i remember mama told me.. ma boy
binadamu hawana wema
watakuchekeaga usoni ukiwapa kisogo na kusema
tusihifadhi chuki moyoni
yalipe mabaya kwa mema
jifanye huyakumbuki huyaoni
ndo maandiko yanavo sema
nilimtanguliza mungu kwa swala
mara ghafla akaja mzungu Sarah
Thank you my baby
You love me, you support me,i love you too
Shout out to my G Jose wa mipango
Jabulanti chopper i got love for you
Mnyamamkali, Budda na Mchachambo
mwambie tunapita swa mikono juu
najua maisha safari mi bado sijafikaga.. long way to go
ila naiona afadhali kulala mwakika nakula sio ka before
debe kwa zizi ali Mbagala, Tandika, Kimara na Kariakoo
Ghetto na kibatari, kiangazi, masika, jua, mvua vyote vyako
now I make my paper(my paper)
and I bless my family
pole walonicheka(nicheka)
enzi navaanga kandambili
so..
never, never, never
never, never, never
Give up….
never, never, never
usikate tamaa maana mungu anakuona
never, never, never
never, never, never
Give up….
never, never, never
usikatee tamaa angaika kila kona