Kuna vitu mi hupenda(Penda)
Si kila mahali mi huenda(Enda)
Kitu ikinibamba nimependa eeh
Ni kujaribu tuone bado ka itaweza
cheki
Si nimekupendaga bana jo ukizitoka
Vile huzitoka hunifanya bado nachoka cheki
Kwanza ukidondosa unafanya jasho inanitoka
Naskia kuzitoka, bila hata kuniogopa
Si ulinishow mi hautawai nitoka
Ata nikianguka mi utakuwa ukiiniokota
So whine that booty baby whine that booty
Si unajua napenda yako tu sampuli
Whine that booty baby whine that booty
Si unajua napenda yako tu sampuli Twende!
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Whine that booty baby whine that booty
Niko chizi kabisani niko fiti yoh
Ni mistari kuziandika niko studio
Za wengine zimeshika ziko fiti yoh
Zikinyc iende sana hadi ngware yoh
Na mamorio wako fiti sema uradi yoh
Kuna tunguna tuko fiti tuko sawa yoh
Na kuna jirani anadai mpango wa kando yoh
Ati anadai nimdondoe kama mahindi yoh
Nizishike nizichape mpaka zilale yoh
Kawangare ndo mtaani sema ngori yoh
Na sistako si ni mrembo sio sare yoh
Ana mahaga ye hunibamba ye hunimada yoh
Kutoka jana hadi leo mi humtaka yoh
Taka yoh(Taka yoh), Taka yoh(Taka yoh)
Taka taka taka taka taka taka yoh
yoh yoh, ni Zzero eeh
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Dondosa ma(Eeeh) Dondosa!
Whine that booty baby whine that booty
Kuna vitu mi hupenda(Penda)
Si kila mahali mi huenda(Enda)
Kitu ikinibamba nimependa eeh
Ni kujaribu tuone bado ka itaweza