Nyuma yake ni rewind
Yaani mambo fire, pull up selector
She make me lose my mind, yaani mambo mbaya
Oooh Fire
Yaani chuku chuku mchuzi wa pweza, mchuzi wa pwe
Kwenye bakuli la supu kunachombezaa, kunachombeza
Usije ukashika ukuta legezaa, ah ah aa
Umeme utazima ruku utanipoteza, ah ah aa
Amsha popo inakesha mabundi, simba
Njoto nikumbate kundi kundi
Cha moto kutatemka vumbi, simba
Nipe gongo la moto kishungi
Mauno yako yanimaliza, controller
Kwa ufundi wako unanimaliza, controller
Baby punguza mbio tusifike haraka, mmh mamama
Punguza mbio tukawie kwa mapenzi, mmh mamam
Kobe kobe yaani
Mwendo wa kobe kobe, controller
Kobe kobe yaani
Mwendo wa kobe kobe, controller
Chemsha bongo unikoroge moyo,, aaaaeee moyo
Situpe gongo utaniacha doro,, aaaaeee doro
Kwa bedi ni ligi la kicongo, fupa kibogoyo
Chakula kinikivee cha moto nipashie kiporo