fidigaldem fidigaldem!
Baby Chuchuma
Teddy B
Pozeee!
Hawa mabinti wanazubaa zu
Huku na kule wanavuruga sana
Hawa mabinti wananyongesha bisha
Huku na kule wanavuruga sana
Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa)
Huddah mama chuchuma(Chuchumaa)
Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa)
My African Nandy (eehh)
Anataka pick it up, pick it up
Baby nikiangusha pick it up, pick it up
Nipe moto zaidi ya konki fire, pick it up
Njoo kwa bedi nikulishe, gyal pick it up
Mimi simba mwenye motion, chuchuma!
Nakuna kwenye motion, chuchuma!
Na kama ngumu mi napaka lotion, chuchuma!
Mi ni mkunaji bwana slow motion, chuchuma!
Vera Sidika chuchuma(Chuchumaa)
Huddah mama chuchuma(Chuchumaa)
Wema Sepetu chuchuma(Chuchumaa)
My African Nandy (eehh)
My baby chunga usivunje mifupa(wuh), ukichuchuma
Nikupe kwenye kiti ama kitandani(yih), toto chuchuma
Willy niko fire daka risasi Baby shika koti nikukune basi
Usiwe mjinga ka kijana mnono mfupi Na mwizi mround eeeh Funny boy
Napenda unavyopepeta aii
Napenda unavyosokota, soko soko
Napenda unavyolia yeii eeh
Kila unapo chuchuma iye iye
Unaniita Pozee rafiki ya upele
Leo Utalia nikikata na wembe
Nikikata nawacha kidonda
Usijifanye hukumbuki mkunaji
Si nilikukuna ukamwaga na maji
Pozee, kijana bomba Mwana machine(ehe),
fire machine(ehe) Swag machine(ehe), chwada machine