MUSIC

Vanessa Mdee Ft. Rayvanny – BADO

Published

on

Vanessa Mdee Rayvanny Bado Lyrics:

its s2kizz baby
vee money on th track ohh!
Check it

Kipendacho roho
Hula nyama mbichi beiby
Nobody knows
That you are down for me

Beiby niruhusu nideke
Nisichekwe
Iwe ka ngumi mateke
Tuwe sote

Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu uuh
Umenifanya nimezama mwenzio

Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado Oooh

Beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau,  bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado mmmh

Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput (Haiboo)

Alamba alamba Tamu tamu katoa maganda
Makibanda misamba
Makarate kavunja kitanda iii

Kanitekenya tekenya Ayee kanitekenya
Mi napekenya pekenya Ayee mi napekenya
Kucho kurokocho ayeee Nikugande kiroboto ayeee
Njoo nikupe burungutu ayeee
Mi kwako zumbukuku ayeee

Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio

Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado Oooh

Latest African Music Here

beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau,  bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado

Nusu kaput Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput Umenipiga nusu kaput
Beiby you know, bado
The way that I do, bado
The thing that you do, bado
The way I love you, bado Oooh
beiby you know, bado
Mi kufanya nikusahau,  bado
Mpaka mi nikushushe dau, bado
Mi sipendagi madharau, bado mmmmhhhh

The Mix Killer
Its s2kizz baby

Vanessa Mdee Ft. Rayvanny – BADO

Follow Vanessa Mdee on Instagram: https://www.instagram.com/VanessaMdee/

Hope you liked our Vanessa Mdee Rayvanny Bado Lyrics!

 

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version