Size 8 Kujeni Twende Lyrics:
ukiwa na mungu manze uatfurahi(manze utafurahi)
kwa maisha atakuwa anaku surprise(anakusuprise eeh)
uwe sonko ama msoto utahisi uko fine(utahisi uko fine)
niko naye mwenyezi anarun my life
asikuchoche shetani ati mungu anapenda wenye pesa
mwenyezi Mungu ni mkweli na sote anatupenda
asikuchoche shetani ati mungu anapenda wenye pesa
mwenyezi Mungu ni mkweli na sote anatupenda
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kwa yesu kwake kila siku raha
mambo sawasawa sawaaa
kujeni twende iko mumbi iwe mbaya na biashara
kujeni twende ata kama ndoa yenu ilivunjwa jana
asikuchoche shetani ati mungu anapenda wenye pesa
mwenyezi Mungu ni mkweli na sote anatupenda
asikuchoche shetani ati mungu anapenda wenye pesa
mwenyezi Mungu ni mkweli na sote anatupenda
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kujeni twende
twende kwa Mola tukae naye
kujeni twende
twende kwa Mola tuseme naye
kujeni twende
kwa Mungu baba hujafungwa, kujeni twende
yesu pekee ndio njia, kujeni twende
pasipo…anafavouur, kujeni twende
mangojwa mangojwa anaponya, kujeni twende(eeh ii)
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Kujeni twende, kujeni twende
Size 8 Kujeni Twende Lyrics:
SIZE 8 REBORN ft MWANA MTULE – KUJENI TWENDE Official Video
https://www.youtube.com/watch?v=j1xq2ztdES0
Song written by MwanaMtule
Producer Bern
Mzik Video by TrueD
Studio Main switch
Executive producer Phil and Size 8