From Eastlando ni mkidi wa
ile mtaa ya kina kiriwa
na mi huchapa inasinzia
ukinisaka niko busy maa
wananirank wananirank zaidi ya shaba
niko juu juu zaidi ya jaba
Vile hiyo burst inakaa poa kwa waist line
Ata ka singekuwa msanii bado singe wasye
line Na all eyes ziko kwa huyu dem
All night niko ma bubu game
Unadu unadu nini baadaye
Si twende hivi nikushow kitu
Nikushow kitu Twende hivi nikushow kitu
Unadu unadu nini baadaye
Si twende hivi nikushow kitu
Nikushow kitu
Twende hivi nikushow kitu
Ukinipa mi ninatwanga nga
We si sabuni so siwezi kukupanga nga
Sina majuju baby mi sijui waganga nga
Twende malap, twende nikupeleke
Namanga nga Nam manga, mi hummanga
Kama simba mi huikanyaga Rombosa dem wa Roysa
Baada ya ‘Uuuuh’ mi na kaa masaa
Na ka masaa ni makanga
Juu hapo kwa bedroom mi na wee ilikuwa matanga