Shilingi ya ng’ara ng’ara
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Naapa kwa Bibilia Nashika na masafu
Naapa mbingu dunia Funika kibakuli
Funua moyo wa furaha Sura za mafedhuli Nyeusi fi, zimewafura
Wasome kwa Zaburi, Wagalatia Hawashindi kudura
Hili penzi tanuri, wakivamia Litawavula Anikuna nazi
Mi nikamue tui Tule wali mbaazi Yetu mapochopocho
Kisha tuanze kazi Usiku kwa asubuhi Wali tumwage radhi Mambo ya soko soko
Penzi sarafu lina pande mbili Shilingi ya ng’ara ng’ara
Mwenge wewe, bichwa mie Shilingi ya ng’ara ng’ara
Kidole juu tuwaringishie Shilingi ya ng’ara ng’ara
Doli doli za mbwela Shilingi ya ng’ara ng’ara
Why you dey my side, nobody dey oohaah
Girl you dey, nobody dey ooh
Take over my whole space Rocking my white shirt eeh
Ooh dance yah shatte Anyting for you oh shatte
Sometimes your body might be too lazy But when you call me I go visit
Mmmh ah my toto de waje Shake your waje Sometimes baby might be too low
Thats why you call me I go still show My love faboulous You go pay me a tonne(tonne)
Cause I love you(Love you) And I want to give you all my love
Still I have you J’lo, tell me you love me Tell me you love me Ooooh ooh…
Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng’ara ng’ara Mwenge wewe, bichwa mie
Shilingi ya ng’ara ng’ara Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng’ara ng’ara Doli doli za mbwela