MUSIC

Sauti Sol Extravaganza

Published

on

Sauti Sol Extravaganza Lyrics:

Sauti Sol ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Bensoul alipofika alifunika eeeh

wakaja na madrama
cinema zetu ni telenovela eeeh
wakasunda mizinga
hawakujua si tuko mavela iieeh

wakaita polisi
kumbe polisi pia ni shabiki eeeh
wakaficha msosi
wakatupata na dishi mezani

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha(kila kona yo yo)
Karibuni kwenye extravaganza
Nviiri alipofika alifunika eeeh

walifunga milango
wakatupata tuko ndani nao
wakaita makanjo
kumbe ni sisi huwalipa salo(wowowo)

wakazima mitambo
shabiki wakabaki kwenye dance floor
na iwe funzo kwao
tunaongoza wanafuata nyayo

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Crystal alipofika alifunika eeeh

Sol Generation Songs

wakaja na umati
wakageuka kuwa wafuasi
wakaja na majini
wakapata tushazama kwa dini

nywele za kifarasi
lakini si ni moto ya malkiasi
risasi mwendo kasi
dandia msiachwe na basi

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Kaskazini alipofika alifunika eeeh

wakaenda kusini
wakajipata wako kaskazini(eeh)
wakaja na magigi
lakini si tukaja na muziki(eeh)

wowowo yeyeye
hata wazime taa tutazidi kuparty
wowowo yeyeye
hizi vitu hazitakangi utiaji

na wakiapisha tunaapisha
na wakifunika tunafunua
eeh wakianika tunaanua
na wakisafisha tunachafua

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha(mama yoyoyoo)
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza

ayeee
Rhumba imechamba
Sauti Sol ina di area kumechacha(mama yoyoyoo)
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza

i am looking for trouble trouble trouble
hapana rusha mawe kwa police station
kabla wacheki vela cheki situation
hapana shusha bendera kwa chifu

i am looking for trouble trouble trouble
bibi ya wenyewe is a no go zone
kama ukute vitu piga protection
nairobi mwizi utageuzwa jivu

i am looking for trouble trouble trouble
hapana rusha mawe kwa police station
kabla wacheki vela cheki situation
hapana shusha bendera kwa chifu

i am looking for trouble trouble trouble
bibi ya wenyewe isno go zone
kama ukute vitu piga protection
nairobi mwizi utageuzwa jivu

Sol Generation Songs

Written and Performed by: Sauti Sol, Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini
Composed & Arranged: Sauti Sol
Produced by: Sauti Sol and Mboks
Mixed and mastered by: Mboks and Fancy Fingers
Additional Background vocals: Okello Max
Bass Guitar: Yvan Kwizera
Directed by Mbithi Masya
Assistant director: Michael Muraya
Cinematography: Dru Mungai
Edit and DIT: Raymond Otieno

Styling by: Brian Babu
Styling Assistants: Ian Aketch, Raphael Mutua, Nessy Lee
Eyewear and accessories from Wardrobe Banter
Wardrobe by SAO International & Bolo Bespoke

Executive Production: Sol Generation Records

Follow Sauti Sol:
Instagram: https://www.instagram.com/sautisol/?hl=en
Twitter: https://twitter.com/sautisol

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version