Yesu Karibu Kwangu Lyrics:
Baba, baba
Kikombe nimekinywea
Hukumu nimechukua
Mateso nimeyapokea
Maumivu nimevumilia
Kama ulivyosema mwenyewe
Hakika nimekinywea Oooh
Halleluyah Yesu, Yesu Yesu,
Yesu Karibu kwangu Eh…eh…eh..
Karibu kwangu Ewe Yesu..
Yesu Bwana Yesu…
Yesu Nakuhitaji Karibu kwangu
Mpenzi Yesu..
Yesu Bwana Yesu…
ewe Yesu Karibu kwangu
Maumivu yangu,
wayajua Yesu Kilio changu,
kikufikie Yesu
Nakuita karibu
Chini ya mretemu
Nimelala Yesu
Mateso ni mengi
Nimechoka Yesu
Nakuita karibu
Mfariji njoo
Mtetezi njooo
Mtoshelevu njoo
Baba yangu njooo
Nitangoja Ewe Yesu..
Yesu Bwana Yesu…
Yesu Nakuhitaji, karibu kwangu
Mpenzi Yesu..Yesu Bwana Yesu…
ewe Yesu Karibu kwangu
Uko wapi Yesu Ewe Yesu, bwana
Yesu Karibu kwangu
Njoo Yesu, njoo Yesu Uje Yesu,
nakuhitajiKaribukwangu
Usiniache Yesu Ewe Yesu(Nimekukaribia Yesu)
Bwana Yesu(Siwezi peke yangu) Karibu kwangu
ROSE MUHANDO – YESU KARIBU KWANGU
Hope you like our Yesu Karibu Kwangu Lyrics by Rose Muhando!
Subscribe to Rose Muhando on Instagram: https://www.youtube.com/channel/UCKNxcv18ljRm0qJdp2DwSKA