MUSIC

Rico Gang – Lingala Na Sheng

Published

on

Rico Gang Lingala Na Sheng Lyrics:

Eeeeey si unajua tu ni nani,si unajua tu ni nani,

(It’s jegede on the beat)

Niko idhaa ya lingala na sheng niko idhaa ya kuteka madame
niko idhaa ya kupiga sherehe niseti kaform ya ya kukata na wembe
tukule chafua matumbo na sembe tukunywe makali tumeze matembe
unanipata janta na kumewaka matata kama ni blunder,
tunachochana, tunaitana tunajikata,

kataa kataa kataaa ,kata usiogope kataa
we mbleina usijichoche
unapiga malooku flani bore
kaa ni form ya kejani si unitolee ,
lingala na genge si tuko wote,
tunatesa majuu na kote kote, alaaa na kote koteeee

Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya kuteka madame
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala sheng
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake EEEEE x2

mekafunga kamA kufuli
Leta pombe si maghufuli
Dem kichwa ngumu kama manduli
Through pass joh lazima nduki
Tera Mos Tera Mos koka achako
Ma manzi warembo emathago
Sina huruma naishi pango
Na nawa sumbua kama agwambo(Hureee)
Brikicho kicho (Hureee)
Peana kitu (Hureee)
Kemoda moda (Hureee)
Tumeshinda shida

Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya kuteka madame
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala sheng
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake (eeeeh) x2

Latest African Music

Lelelile lelelile ie ie mama ei
Tumekuja na lingala na sheng
Tungekuja tu kupiga sherehe
Tumekuja na mbogi aisee
Tunakatika mpaka che

Tumekuja na lingala na sheng
Tumekuja tu kupiga sherehe
Tumekuja na mbogi aisee
Tunakatika mpaka che

Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya kuteka madame
Niko idhaa niko idhaa niko idhaa ya lingala sheng
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake
Unipakate sakate banjuka kila mutu na wake (eeeeh) x2

eeeeeeh,eeeeeh salimia odi wa Murang’a,akiwa na Exray aaaahhh Taniua
Mike Sagana, Baba laooooo
Nelly the goon,na Dmore ngoreee,
Eeeeeh Papaaa Jegedeee,Super producer
Aaaaruukidooo,shalkido kijana wa shosh,
Miracle Baby nakuona,kijana wa miujizaaa,
Na uambie Mutua, hii Gengetone ni tofauti, asifanye kubanii

Rico Gang Lingala Na Sheng Lyrics

We hope you Liked our Rico Gang Lingala Na Sheng Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version