Ajiunge na wasafi tusukume gurudumu
Na munajuanga sitaki haya mambo ya kunywa sumu
Aah mama la mama ooh mama mia aah
Kwako nimezama nimezama nimezamia
Nihifadhi kama maji kwenye mwili wa ngamia
Usijali kuhusu mambo ya tango na vibamia
Nichakaze shawty nikanyage sorry
Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori
Tafadhali shawty
Usinipandishe mori
Na ukinipa nyama
Naila kama mnyama pori
We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama
Rayvanny Ft Mr Blue – Mama La Mama
Hope you Liked our Rayvanny Mr Blue Mama La Mama Lyrics!