Mungu kakuumba vikamilifu
Black beauty umewaka
Mama umewaka
Umbo lako nyembamba yeah yeah
Ona ata mitumba inakaa
Mbona inakaa
Usijiboosty makalio beiby
Hio ndogo ndio napendaga
Hii mi napendanga
Chuchu zako ndogo ka tomato
Hio ndogo ndio napendaga
Mama napendaga
Maana kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo wanapenda light skin
Mi napenda choco usijibleach mikorogo, mikorogo
Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo wanapenda light skin
Mi napenda choco usijibleach mikorogo, mikorogo
I say kupenda ulivyo
Na ntakupenda hata ujichubue, ujichubue
I say kupenda ulivyo
Na ntakupenda hata ujichubue, ujichubue
I Love you just the way you are, (you are)
Ooh Beiby, you are Mmmh, (you are)
I love you just the way you are
I Love you just the way you are, (you are)
Ooh Beiby, you are Mmmh, (you are)
I love you just the way you are
The Way You Are Lyrics Verse Two
Mmmh, hio figa yako nyembamba
Ladha ya uchumba
Tukichoshwa kitanda
Anipa hadi kwa kuta
Huwa nambeba kama mtoto
Mwepesi ka pamba
Zile bingiri bingi za chumbani
Jirani alalama
Kipepeo, taka debe hii Kipepeo, sitareduce
Kipepeo, chuchu ndogo ka keli
Ila nanyonya naguza
Maana kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo wanapenda light skin
Mi napenda choco usijibleach mikorogo, mikorogo
Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo wanapenda light skin
Mi napenda choco usijibleach mikorogo, mikorogo
I say kupenda ulivyo
Na ntakupenda hata ujichubue, ujichubue
So kupenda ulivyo
Na ntakupenda hata ujichubue, ujichubue
I Love you just the way you are, (you are)
Ooh Beiby, you are Mmmh, (you are)
I love you just the way you are
I Love you just the way you are, (you are)
Ooh Beiby, you are Mmmh, (you are)
I love you just the way you are
Hope you Liked our Otile Brown The Way You Are Lyrics!