MUSIC

OCTOPIZZO – Wakiritho ft Sailors

Published

on

OCTOPIZZO Sailors Wakiritho Lyrics:

D for Dabonge,
S for Sailors
Also Octo,
Eeh hii si birika
Hii ni Thermos bana
Eeh Oka!

Mi ni mang’aa nakupea ball nakutoka
Unanipata na mafegi baze na mogoka
Skrrpapa bare ta tujue kumethoka
Skia sasa baze place pahali nimetoka

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeh)
Kokokoriko hivo ndo ntakupata  Nikiwa na thimbo(Eeh)
Nikiwa ombitho(Eeh)
Mtaa Ndenderu
Nikuwa nakatia  Bibi ya Onjivo(Eeh)

Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeh)
Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeh)

Ni kikush kush Mary Jane
Venye kina bomb bomb ndani ya brain
Siwezi waka kwanza bila gang(Skrrt skrrt)
Na tukiwaka basi kiende chain

Jicho nyanya na bado twazifunga
Si 4:20 na daily zimerunda
Mi ndio peddy nauza hadi Runda
Zile konki mateke ni ya punda

Juang’a juang’a kona kona ntolee
Hapa chezea tona tona dole
Shika pongi ndo uchoree Akothe ngole
Ita toto ndo akujie stingo donye

Ka ana shada akujie Njoki ng’oe
Nimpe rungu hadi achachishe na ndore
Masauti zako kwanza kwa bedi ukinipepeta
Nikurogie turi vile mi hurogia kitheng’a

Ni kiyoyo ama unauliza (kaonje na ihenya)
Mmmh aii mmmh aaiii

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeh)
Kokokoriko hivo ndo ntakupata
Nikiwa na thimbo(Eeh)
Nikiwa ombitho(Eeh)
Mtaa Ndenderu
Nikuwa nakatia  Bibi ya Onjivo(Eeh)

Wakiritho(Tah Tah) Wakiritho(Eeh)
Wakiritho(Tah Tah) Wakiritho(Eeh)

Zimenicatch catch zimenifly
Nacheki sky sky vile niko high
Sailors competition imedie
Sailors tuko fiti walai

Moshi everywhere utadhani mi ni hooker
Moshi everywhere utadhani nitalipuka
Ilegaliziwe kwa duka  Masilver nimemada
yaani mi nimekafunga

Pili pili, chilly chilly
Pewa ndumo water lillysh
Willy willy DJ cheza chini
Pekejeng pekejeng pekejeng

Unga ngano kanda mpango wa kando
Vua ndang’o toa nyoka pango
Zima candle peperusha lango
Tema taxi Uber gal a bubble

Mi producer acha niwasample
Pizzo de Shiko, ita Shiro de Niki sanif wanakashif
Vipi arif jua kali sana
Hizi era itabidi umeita Calif

8 Town Pizzo de Don, namba nane
8 Town Pizzo de Don, namba nane
Sailors on the replay namba nane

Wakae ritho..

Latest African Music Here

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeh) Kokoriko hivo ndo ntakupata
Nikiwa na thimbo(Eeh) Nikiwa ombitho(Eeh)
Mtaa Ndenderu  Nikuwa nakatia
Bibi ya Onjivo(Eeh)

Wakiritho(Tah Tah) Wakiritho(Eeh)
Wakiritho(Tah Tah) Wakiritho(Eeh)

OCTOPIZZO – Wakiritho ft Sailors

Hope you liked our OCTOPIZZO Sailors Wakiritho Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version