Nimo Blessings Lyrics:
All over blessings all over
All over blessings all over
Zinafollow tu all over(all over)
Zinanifollow tu all over(all over)
Haijakuwa kitambo
Tangu nikujuwe ewe Yesu
Haijakuwa kitambo
Tangu nikufahamu Yahweh
Sipo jinsi nilivyo, nilivyokuwa
Tena siko niliko, niliko kuwa
Umebadilisha mambo all over
Sasa niko under your control
Umebadilisha all over
Blessings all over
Umenipa afya njema asante
Mavazi sijawahi kosa asante
Wewe ni Mungu wa rehema
Aaah
Umenipa afya njema asante
Mavazi sijawahi kosa asante
Wewe ni Mungu wa rehema
Aaah
All over blessings all over
All over blessings all over
Zinanifollow tu all over(all over)
Zinanifollow tu all over(all over)
Nimo – Blessings

We hope you Liked our Nimo Blessings Lyrics!