LYRICS

Nandy Yanga Lyrics

Published

on

Nandy Yanga Lyrics:

Yanga sisi ndo Yanga
Yanga sisi ndo Yanga
(Kimambo on the Beat)

Hii ndo Yanga wanaita timu hatari
Hata watumia nyanga watopita hii safari
Inawaishi kiranga tukiweka kwa kidari
Si unampa makambo kwa mashepu ya mbali

Oh jamani wakiinama wakiinuka
Wameokota kidude
Oh jamani wakiinama wakiinuka
Wameokota kidude

Unainama, unainuka (Yanga)
Mzuka ukipanda vua shati ama Bukta (Yanga)
Unainama, unainuka (Yanga)
Mzuka ukipanda vua shati ama Bukta (Yanga)

Sema woyooo woyoo woyooo
Woyooo woyoo woyooo
Oh Yanga woyooo woyoo woyooo
Woyooo woyoo woyooo

Yanga sisi ndo Yanga
Yanga sisi ndo Yanga

Watoto wa jangwani
Sare yetu njano kijani
Tunapenda Yanga
Njoo chini hulali majani

Watoto wa jangwani
Sare yetu njano kijani
Ka unapenda Yanga
Njoo chini hulali majani

Nasema lalia majani, lalia majani
Nasema lalia majani, sare yetu njano kijani
Nasema lalia majani, lalia majani
Lalia majani, sare yetu njano kijani

Latest African Music

Kaseke lalia majani,lalia majani
Naido, sare yetu njano kijani
Yakuba lalia majani,lalia majani
Yaucho, sare yetu njano kijani

Mama, Yanga

Yanga sisi ndo Yanga
Yanga sisi ndo Yanga
Yanga sisi ndo Yanga
Yanga sisi ndo Yanga

Hope you Liked our Nandy Yanga Lyrics Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version