MUSIC

Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene

Published

on

Nandy Sauti Sol Kiza Kinene Lyrics:

Kimambo on the beats

Kiherehere kimeniisha
Eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako
Waninanga wee Zaidi yanisikitisha
Eti nimekuwa chuma cha kafuro

Nipo juu ya mawe Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibua maji kisimani Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua

Masala Nimezidisha chenji kimeota nyasi
Mbaghala Nilipita dirisha nafasi kuigombania
Ah baba Kumbe basi limejaa na mlango upo
Haioni mboni yangu (Kiza kinene)

Kibatari utambi umetumbukia(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu(Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea(Kiza kinene)

Ah…aah I’ve been trying not to diss you
Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi
Hope uko sawa, my darling
And I’ve been trying not to miss you

Latest African Music Here

Ila unapoenda kutwa yangu maumivu
We yangu dawa, ooooh ooh
Chumbani kwangu kaingia kunguni gani?
Mara kwenye kitanda mara kwa shati Aii,
haya ni maruani Yanafanya nakosa amani

Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala Tushazamisha meli yameisha Mabega
Nitaambia nini waingo mukhana tire na

Ingababwa Nina mafeelings ingawa sijiwezi
Hayaoni macho yangu(Kiza kinene)
Koroboi utambi umetumbukia(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu(Kiza kinene)
It never gonna be the same
No No No No oooh(Kiza kinene)

Nandy Featuring Sauti Sol – Kiza Kinene

Hope you liked our Nandy Sauti Sol Kiza Kinene Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version