Ayo ni DJ Shiti aka Kolokolo Munyanye
Na leo tunataka kusondeka
Tabia tofauti tofauti ambayo hatupendi kwa hii jamii
Tabia ya maslayqueen kula pesa ya wanaume hata ya wale wa mjengo
Mtu mzima kukojoa kwa matandiko halafu anawekelea watoto
Kutumia watu ‘Please Call Me’ na uko na iPhone, Shindwe!
Rixxx, finya hiyo kitu
Usibishane na babu wewe
Tunasondeka yeeeh, tunasondeka(Are you ready?)
Tunasondeka, tunasondeka Na tuko tu Pacho kwani boss(Rixx Matatizo)
Tunasondeka chii, tunasondeka(Ah Naiboi)
Tunasondeka, tunasondeka Tunarekebisha
Are you ready?(Nai Nai) Are you ready?(Nai Nai)
Nikuje?(Hapana) Nikuje?(Hapana)
Tunasondeka kwa charger hakuna socket
Si tu charge kwanza nishalipa token
Charger ya smartphone sina pin ndogo
Hakuna mangoko na hapa mi ndio jogoo
Niko na idea, chunga utaingia
Si rahisi uliza hadi Nadia Mmh
mapunyeto saka una dhiki
Na mangeus wako ni mashabiki
Ikikataa there is no regretting
Tuna iswitch back to factory setting
Na mi ndo dawa kwa hizi factory zenyu
Nawaka ka star so mashawties wenyu
Wamenifuata mtaa, wanasoma menu
Wamenipata njaa nadishi chakula zenu
Leo nitaisondeka na hapa ndio venue
Chapati kalia mi nikicheza na ndengu
Onyesha hiyo mbegu, (wee) mi si kitabu
Siwezi someka, sipigi kavu
Siwezi chomeka(Boom)
Na bado naisoma mpaka che
Naipiga na naipika ilie kama fee
Ah backup the place kama mende kwa giza
Bless so royal, alikuwa na mikono ya miujiza(Riswa!)
Nice pretty face with a bami ya figa
Leo ni kuisondeka kama mpira LaLiGa
Tunaisafisha mitambo iyee Tukizipeleka Wordwide(eey)
ah Naiboi fanya mambo Yeah we pray for your long life
Fix it Naiboi
Wasanii mpaka lini? kukaliwa chini Our whole lives ooh no
Round hii tumekam kuwakomesha Round this tumekam kuwasomesha
Pima miti utajua ni ya mluja
Shot nakupea moja ka ya Drogba
Kinyama nyama itabidi umengoja
Kuna line na hujapiga hata order
Uliota na kitu inakaa ka nyoka
Haina macho lakini inakuona
Inapenda kuingia na kutoka
Inapenda joto saa ya mboka
Kevo anadai ananidai na hana ndae Eti alipe Uber, Tunasondeka!
Kwa DM wanakazana wanisend nudes Waone boobs na mathutha(Ate what?)
Behind the scenes nimecarry alot Napiga matots kwenye parking lot Ah,
mbele mbele nawapita na force Sidigi nyuma niwe chumvi kama bibi ya Lot
Sikuli doh ni kusave niwai shamba Namanga Kwa border ndani ya ndae si na ujue luku ni pamba
Kwa rap we ni credo vile nimewabamba Niite Femi Uno and you know vile tunawafanyanga
Tumependa sana mikiki na mambo ya dunia
Mambo ya kujaza maji ndani ya gunia
Tulia, vulia lazima kuyaogea Ujana ni moshi ndio maana unavutia
Raha jipe mwenyewe Juu hakuna wa kulinganishwa nawe
Ukitingisha kiberiti Chunga tu kulipua baruti mama
Nia ni ile ile Asilimia vile vile Kuja nawa mbona uje tule leo
Watapiga vigelegele Na kesho wakusulubishe Lazima tuwarekebishe
ndio maana Tunasondeka, tunasondeka Oooh Ikileta shida
Tunasondeka tunasondeka
Vruum! Gari ni biggy gurudumu(Wivu)
Hapo nyuma guza pumblu bum(Wivu)
Mwenye wivu ajichapa uchungu(Ni malaria huyo)
Piga umbu Doom! Party namada, ka hunipati jo bila panty balaa
Naeza ikata ka nyama haina mifupa dada
Masomo niko sawa si nimewasoma ala Ni satisfy, nikupe certificate haha
Baby kamata madingo Happy to be rumored I drove your ego
Na hivi ndo wataheshimu maandiko Boy Naiboi ame ashame the Devil
Kwa social media unatutesa We ni baller unatuthago vile umemako pesa(Tunasondeka)
Ati zako ni ma 5 star na mtaa bado we hulalia double decker(Tunasondeka)
Ati huwezi kula skuma, umezoea chakula ya Ole Sereni(Tunasondeka)
Kumbe we ni client ile baze ya Nyaga chapo ndondo pia hukula na deni(Tunasondeka)
Ati juzi ulikuwa Dubai sherehe na ni kaa si hatujui(Tunasondeka)
But niaje tena ulionekana Nyama Kima ndani ya bus za kwenda Kitui(Tunasondeka)
Ati umeshika gari mbichi ka zile sisi huona kwa movie man(Tunasondeka)
Hiyo ni vako si we hubebwa na Mwangi ju najua uko nduthi gang(Tunasondeka)
Ati we na Uhuru mko related so unataka tukuskize fiti(Tunasondeka)
Thats a lie ju labda msee anakujua ni Omwami ama Dj Shiti(Tunasondeka)
MCSK juzi wamentumia thao mbili soo tano(Tunasondeka)
So napanga kuwavuruga hizo peanuts hatutaki ero kamano(Tunasondeka)
Naiboi to the World, no Mpasho, finger to the Paparazzi(Tunasondeka)
Kujifanya hautujui si ni ufala, vijana muwache mihadarati(Tunasondeka)