[Otile Brown]
Mmmh nasema mtoto wewe ni mnaughty
Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti
Ulivyo wa Moto umenipiga shoti
Twende tukacheze bango
Mama it takes two to tango
Niko mwenyewe nami niko jamo
Kula moja moja ndo utamu wa karanga….
Kwa mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga
Ngozi nyororo mtoto wa kidosi
Piga picha Insta nikuposti
Simiti imekauka roboti
Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi
Ninavyocheza kayamba (Aii wewe)
Kiunoni ana shanga (Aiii wewe)
Anajua kama danga (Aii wewe)
Kaniroga kwa mganga (Aii wewe)