Nadia Mukami Lola Lyrics
Nadia Mukami – Lola (Official Video) Ft. Masauti
Nadia Mukami Lola Lyrics:
I never met someone like you
before I never met something like,…
Aaah aaah aah beiby
Aaah aaah aah lola
Aaah aaah aah
Aaah aaah aah
Motif did on
Nashangaa na hizi pesa
Nilijikuta tu kivyangu
Ati mwanzoni ulinipenda
Akabisha shetani huku kwetu
Lakini mbona hukuniambia
Jasiri nijulie mitandaoni
Ukweli ukaukimbia
Ati mhusika ndo shetani
Ama ni kiki unatafutia
Ndo maomboi yangu moyoni
Ama ni showbiz na hujaniambia
Nisijitese tu akilini
Ona tulianza bila mapeni
Na leo tuna magari
Nimekosa nini jameni
Ulitaka aliye maarufu
Uwape stori magazeti
Matusi pande mbili
Kipenzi cha watu jamani
Walitupenda sote wawili, ila…
Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola)
Lola, Yamemwagika hayazoleki
Lola, yamemwagika bass
Lola, sasa umeniacha na nani
Lola, rudi kwangu mimi
Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh
Lola, rudi kwangu mimi
Mimi nimeunguka
Sina hata haja kukutazama kwenye sura
Nilo yafichaa Mwangu moyoni, yote unayajua
Naona aibu Mpaka kwa marafiki zangu
Imekuwa chungu Kwa tamaa zangu
Nadia ulinipendaga Na mapenzi yalinoga
Me ndio nilikumwaga
Nakuomba msamaha wangu mama
Basi usiniadhibu Kwako tayari nimekubali
Wacha kunihusudu Kila mahali ni mimi mitandaoni
Kugombana sio suluhisho mama Aaah, aaah
Tusizidi kuvunja mwiko mama Wa mapenzi yetu me na we
Lola, sasa umeniacha na nani
Lola, rudi kwangu mimi
Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh
Lola, rudi kwangu mimi(mama yoh)
Lola, yamemwagika hayazoleki Lola(lola)
Lola, yamemwagika hayazoleki
Lola, yamemwagika baba
Umefanya pombe kuwa pacha wangu
Kichwa ni mawazo, Kichwani mwangu oooh
Na si unajua, nakupenda wewe iyee
Hayazoleki(hayazoleki)
Nadia, Nadia wewe Nakupenda oooh..
‘LOLA’ is about a love triangle between two lovers who hustled together and acquired some wealth but the boyfriend, betrayed their love, by getting involved with another woman.
Audio Produced By: Motif di Don Video
Directed By: Deska Torres of Platinumz Pictures
Written and performed by: Nadia Mukami & Masauti
Get In touch with Nadia Mukami on social media;
Facebook https://www.facebook.com/OfficialNadi…
Twitter https://twitter.com/nadia_mukami
Instagram https://www.instagram.com/nadia_mukami/