LYRICS

Mr. Seed X Timmy Tdat – Sijali

Published

on

Mr. Seed Timmy Tdat Sijali Lyrics:

Eeeeh eeeeh
Switch it Up
Eeeeh eeeeh
Timmy Tdat
Mr Seed again

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali mi sijali mi sijali
Waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gadhee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gadhee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Oh God afanye nini na mimi?
Msee wa dhambi ka mimi
Nifanye niamini
Atanikubali

Alifufua waliodedi kaburini
Akanikomboa jo cheki mimi
Ananiinua kila siku nikiwa chini
Unafaa kumuamini jo wewe Timmy

So Mr Seed mimi msee nina tatoo
Wacha threesome nishakata watatu
Sitoangi sadaka nilibuy kiatu
Hata Ssaru alidai nitaburn nyaru

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali mi sijali mi sijali
Waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gadhee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gadhee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Utasikia hata imeandikwa kwa bible
Yule David alikuwa mbaya Python
Aliwachukua chukua mabibi za Gadhee
Lakini bado Mungu naye akamsamehea

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo

Ati praise to the Lord hizi dhambi anaburn it
Praise to the Lord hypocrite anaburn it
Praise to the God hizi show tuna kill it
Si Kuokoka ndio nita learn it

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali mi sijali mi sijali
Waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gadhee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gadhee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

LATEST AFRICAN GOSPEL SONGS

Oh God afanye nini na mimi?
Msee wa dhambi ka mimi
Nifanye niamini
Atanikubali

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo

Ati praise to the Lord hizi dhambi anaburn it
Praise to the Lord hypocrite anaburn it
Praise to the God hizi show tuna kill it
Si Kuokoka ndio nita learn it

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali mi sijali mi sijali
Waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gadhee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gadhee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali mi sijali mi sijali
Waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gadhee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gadhee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo

Mr. Seed Timmy Tdat Sijali Lyrics

We hope you Liked our Mr. Seed X Timmy Tdat Sijali Lyrics!

 

 

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version