Mr Seed Romeo N Juliet Lyrics:
Nyasachae, Nyasachae, Nyasachae
Ero kamano imbia toto manyanga eh
Nataka eh nataka eh, nataka eh
Nikupandishe Nyamburuko
Nikupeleke kwetu Kisumu eh
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet
Tararara…tararara..
Sura nzuri, kama tunda
Shepu figa cocacola
Hata nikifa leo baby
Natamani nizikwe na wewe baby
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet
Sura nzuri, kama tunda
Shepu figa cocacola
Hata nikifa leo baby
Natamani nizikwe na wewe baby
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Mi nafurahi rahi baby
Umeniwahi wahi sweety
Umeniwahi wahi baby
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet
Mimi ni Romeo wewe ni Juliet

Hope you Liked our Mr Seed Romeo N Juliet Lyrics!