MUSIC

Aslay – Mateka

Published

on

Aslay Mateka Lyrics:

Ooh mama yeah, ooh mama yeah
Yeah yeah

Kanilambisha limwata
Nisikule
Nahisi kama nadata eeh
Msukule eh
Na moyo wangu unawasha
Upelee
Napuliza nakung’ata eeh
Panya buku

Upendo umevuka kina eh
Nina wivu mpaka roho inauma eh
Iwe Japan au China eh
Weka gundi baby tutagandana eh

Supu ukitia nazi utaharibu
Kidole niweke pete, tuwe karibu
Kisha tukawasalimu
Bibi na babu, babu babu babu

Watupikie mihogo
Tunywe mbege
Tukacheze sinema

Ndege limetua kwenye mti wangu
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka
Nimeridhika hayuni wangu
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka

Mlango nimepata kufuli wee
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka
Hapa mwisho wa ujeuri yee
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka

Ndoto yake ilikuwa kunipata
Alivyonipata sindo akanipa
Alivyonipa nikashangaa nadata
Nikazama mazima

Latest African Music Here

Wa kwangu mwenyewe
Huyu, huyu, huyu, huyu
Nimempenda mwenyewe,
Huyu, huyu, huyu, huyu

Wa kwangu mwenyewe mwenyewe
Huyu, huyu, huyu, huyu
Punguzeni vimbembele
Huyu, huyu, huyu, huyu
Supu ukitia nazi utaharibu
Kidole niweke pete, tuwe karibu
Kisha tukawasalimu
Bibi na babu, babu babu babu

Watupikie mihogo
Tunywe mbege
Tukacheze sinema

Ndege limetua kwenye mti wangu
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka
Nimeridhika hayuni wangu
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka

Mlango nimepata kufuli wee
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka
Hapa mwisho wa ujeuri yee
Nimetekwa mateka…Nimetekwa mateka

Huyu, huyu, huyu, huyu…

Latest African Music Here

Aslay Mateka Lyrics

Hope you Liked our Aslay Mateka Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version