MUSIC

Masauti Leo ni Leo

Published

on

Masauti Leo ni Leo Lyrics:

MASAUTI – LEO NI LEO (OFFICIAL LYRIC VIDEO)

Leo Ni Leo
Leo

Leo Ni Leo
Leo
Leo popote nazamaga
Chombo chochote nabebega
Uwe mwembamba au Umenona
Chombo chochote nabebega
Girl i like your mini dress Unakunywa
Nini We
Unataka nini we
Leo mi ndo dingire
Bado mapema haiya
Waiter ongeza tena haiya
Shoti za tequila eh
Waongeze tena haiya

 

Leo leo nionyeshe chachandu
Leo leo Kwenye chako kiuno
Leo leo cheza kwa maringo
Leo leo cheza

Latest African Music Here

Follow Masauti on:

‪Instagram – https://www.instagram.com/officialmas… ‪

Facebook – https://www.facebook.com/Officialmasa… ‪

Twitter – https://twitter.com/OfficialMasauti

 

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version