Kanitekenya, kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya, moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi
Kanitekenya, shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji
Kanitekenya, akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji
Kanitekenya, kama gari imepigwa starter
Kanitekenya, yaani kama boda boda imewashwa
Kananitekenya, kakitingisa tetemente, tetemente
Kanitekenya, nipatashika mambo yente, yente yente
Ooh lala, nitamaliza mikwanja, siku nikikakamata
Ooh lala, teacher atakuwa kiranja, kuku atampanda bata