MUSIC

Khaligraph Jones Me Siogopi

Published

on

Khaligraph Jones Me Siogopi Lyrics:

Yeah, ahuu
Scorpion, ahuu
siogopi ooh, ahuu
Yeah, yeah

Me siogopi, me siogopi,
me siogopi, me siogopi

Leo ni movie mnataka kuona na mi si Tokodi(Mi si Tokodi)
Visanga tutafanya leo lazima tupatiwe notice(Riakakakaka)
Lakini ambia mwenye nyumba nimesema siondoki(Hahahaa)
Cheki vile nimekafunga boss na mi sio chopi(Na mi sio chopi)

Mapesa najua kutafuata sana na mi siokoti(Na mi siokoti)
Makesi si pia natatua sana na mi sio korti(Na mi sio korti)
Na kale kambwenya kangu ka seko sina, na miss hio koti(Na miss hio koti)
Si tuko kimoja nikisema hawa ma OG ni konki(Konki fire)

Wako na kikosi ya mbogi ya Odi ya kina Munyoki(Munyoki murogi)
Na mi na Munyoki tukikuja kwako si hatutoki(No never)
Na ka una shida kimbia polisi ukapige ripoti(Toka kwenda)
Si aki ya nani leo lazima tuvunje rekodi(Vunja kivolume)

Ju kuna bash ya kuzima wasanii wa ngoma shoddy(Zima kabisa)
Si tuserereka mpaka wathii watoke na magoti(Hahaha)
But hizi ni vitu si tumezoea si hatuogopi(Rrrraah)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Ka ni vitisho tumezoea,
me siogopi, me siogopi Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi)
Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi)
Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)

Oya gathee, hii si lingala mi sio Koffi(Mi sio Koffi)
Na ukinihalla nipate Java na miss hio coffee(Na miss hio coffee)
Cheki vile mi huwaliza ngori na mi sio Kofi(Kofi Annan)
Na ukijaribu kuleta nyoko nyoko hapa ni makofi

Tabia za Pozze zinaweza fanya useme siokoki(Aki ya nani)
Lakini wacha ninyamaze gathee nibaki kwa topic(Ukanyamazesh)
Hii ngoma nimefanya na Omollo na mi siwachochi(Omollo mgani?)
Omollo mmoja yule alishinda trophy (Brrrraaaah)

Nishawachanua mi siogopi Mi ni kurutu jo mi sio softi
Ka ni kuroga then mi ndio bossi Ka unaugua then hii ndio hosi
Hii ni beef jo hii sio Sossi Hii ni hit jo au sio Motif
K.O.B jo leta hio coffin Nirest in peace jo mi siogopi

Mabuda mnachoma kazi ni ku copy paste Hawa ma yungin ndo pia nyi mtrend
Mbona msikubali mmechapa Ni ka mnasaka career zenyu zimeend
Mnazoza kwa mneti mashow mnapiga Na zinafanyika ka kila weekend
Na ngoma mkitoa the only platform Mnapata ni Citizen 10 over 10

Mi nipe candle siwezi potea Ju kitu nafanya ni ngumu kusample(Woo)
Hard kuwa rapper lakini ikibidi Namada pia beats za dancehall(Rrraaah)
Favourite rapper wako batty boy Tulimpata akinunua tampoons
Mbogi yangu ya ubakora ni major Utatupata na akina Kansoul

Acha kiburi punguza kelele Zako pang’ang’a kwa mtaa we ni mwere
Utageuzwa kichungi ukizidi na kwere Nilianza kuhustle enzi za Nyerere
Legendary kama Luanda Magere Nina ofisi huko Mwea Tebere
Niko na maratchet wale ukiketi mbaya Soda yako watakuwekea mchele

Before nianze rap hapa Kenya Kulikuwa na shortage ya skill Hakukuwa na talent(Omollo)
Akina Pinye walimada industry Wakafanya ikuwe barren
Wakasema nisiroge na ngoso Ati sababu sijatoka Karen
But …., guess sai Nani anapiga mavideo na kina Clarence

HBR nangoja mnipigie simu mniambie pole
Hio top 50 mlitoa Inaonyesha vizuri hamkufika hata college
Ju ka si Khali ndio number 1 Inaonyesha vile mmedharau jina
Freestyle zangu ndo Most viewed on your channel Na bado mnakosa heshima Aaah,

aki ya nani, eyoo Motif imebakia nani Mbona wathii hawanitakii amani
Hii game me nai ninaimwagia ndani Nani hapa Kenya ameisukuma Hii culture ya Hiphop kushinda Omollo?(Iyee)
K.O.B na Khaligraph kwa battle field tunasimama solo
Ahh unarada fiti Kuna wasanii kadhaa bado wasaliti

Wanasaka kiki, si hawataki kuona sisi tukipaa
Watafurahi tukikaa Kamiti OG we are brand them amachichi
Ama vipi bado mi nafanya mziki
If it ain’t about the money don’t tryna reach me
Nishamaliza hii kitu inakaa mazishi

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)

Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi)
Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi)
Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)

Khaligraph Jones x Lamaz Span K.O.B – Me Siogopi (OFFICIAL VIDEO)

Top 10 Best Rappers in Kenya 2019

Follow Khaligraph Jones on Instagram: https://www.instagram.com/khaligraph_jones/

Hope you liked our Khaligraph Jones Me Siogopi Lyrics

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version