Khaligraph Jones – Leave Me Alone (Wachana na mimi) OFFICIAL VIDEO
OG….eey
say leave me alone
ka huna mpango ama form
usinipigie simu, dont be calling on my phone
leave me alone, if you cant keep up with the jones
i’d rather ukae mbali dont be coming to my zone
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
unabambika na vako, zile nyi husoma mpasho
ile idhaa niko hustle, mi nikipanguza jasho
munaeneza udaku, ndio muongezwe za macho
lakini na kuna kichapo, kofi soki na kahasho
tangu niende commercial, nimekuwa controversial
ngori zile niko nazo, zimenilete vikwazo
mahater wanakaza mata, OG anakazanga muscle
so usidedi na mawazo, juu kama si yako ni yako
now you can OB my sacco, Omollo, Odinga, Obako
presenter anaringa na passo, utadhani amenunua Rav4
mashow mi hupiga kila sato, design ya Tracy na Marto
si ndio hukuja ruracio, kuotea soda na chapo
nina mbogi ya ushago, na manyako wananithago
nina jeshi ya kina zzero, na zimewashikia dago
mi hushindanga na akina wambo, kwa ile kibanda ya pango
tuko juu ya reggae kanambo, na tuko rada ya makanjo
say leave me alone
ka huna mpango ama form
usinipigie simu, dont be calling on my phone
leave me alone, if you cant keep up with the jones
i’d rather ukae mbali dont be coming to my zone
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
eeey
mnataka kunipimia life as if huwaga ni fare
mpaka watoto wa juzi sahii joh wananidare
hii maisha ni kuishi vile unataka ama nijea?
so sitaki nizame na story za pressure kama Natalie tewa
mtaa mi huwanga nimea, kwa teli ni mi huwa na air
i know you could think it aint fair, but my we never care
siri ni kunyenyekea ndio ujue ni wapi unaelekea
so kuanzia leo, juu mi nadeclare , that lazima ngoma zitaenea
unapenda kuni bather, kunichafulia rada
huku mimi najikaza, sauti yangu mi na paza
mi nikipewa huwa najua na mada, bongo kapuka genge ama raga
tangu wajuwe sikuhizi mimi ni baba, shoree wangu wako chini ya waba
ni mimi ndo wanapenda kutupia lawama
juu sahii natengeneza pesa na hao hawana
hakuna kitu ya bure, buda ni kukazana
juu leo joh watakucheka lakini kesho ni karma
say leave me alone
ka huna mpango ama form
usinipigie simu, dont be calling on my phone
leave me alone, if you cant keep up with the jones
i’d rather ukae mbali dont be coming to my zone
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
siwaju(siwajui), siwatambu(siwatambui)
leo napiga mtumba nnaye kesho napiga louis(piga louis)
na haikuhusu(husu) yangu maisha(maisha)
leo mbonga chafu kesho ntakunyamazisha
everyday we on, now we in my zone
nakama hamna mpango, just get out of my phone
not with the game, so i suggest you dont
bring me the just leave me alone
yaaa…
i threw the vibe and the caught it
all you is distorted
legend of every rich potter
ama mnataka makipchoge
maisha yangu haiwahusu, nyi manyoka nawashuku
nawapiga marufuku, mi nikipiga tu luku
nasema siwatambui, hio ufala haikuwi
so kama wewe ni adui, leo utajua haujui
nasema siwatambu
hio ufala haikuwi
so kama wewe ni adui
leo utajua haujui
say leave me alone
ka huna mpango ama form
usinipigie simu, dont be calling on my phone
leave me alone, if you cant keep up with the jones
i’d rather ukae mbali dont be coming to my zone
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, leave me alone
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi
leave me alone, wachana na mimi