Khaligraph Jones Kwendaa Lyrics:
Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) shenzi
Mi sipendi hizo mangoma (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Manze huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) shenzi
Proface, proface
Ju huko ndo mi husupply
Ngoma nauza utadhani ni tokens
Hau
Na ka ni collabo utabonga na Franko
Amekuwa manager kutoka campo, campo
BET nominee buda narun show (Omollo)
Omollo unatesa manze jo kam slow
Ah nyi MCSK ni mafala (Kwendaa)
Mnatupeleka hasara (Kwendaa)
You gotta pay what you owe (Kwendaa)
Nasema nataka hio doh (Kwendaa)
Manze tumechoka na curfew (Kwendaa)
Uhunye jo rada ni chafu (Kwendaa)
Si uskie kilio ya watu (Kwendaa)
Ghetto mbogi iko…

Hope you Liked our Khaligraph Jones Kwendaa Lyrics!