MUSIC

Jovial – Deejay

Published

on

Jovial Deejay Lyrics

Vicky Pon Dis
the one and only vicky(yeeeh)
Vicky Pon Dis

Ninapozubaa
Fikira zako hutenda, kichwani mwangu yeah
Kichwani mwangu wee yeii
Napigwa butwaa
Jinsi ulivyo ziteka hisia zangu(Wee yeii)

Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta(mmmh)

Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta

Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi (Nicheze, nicheze nicheze)

Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi (Nicheze, nicheze nicheze)

Unaniwasha washa roho
Usinipe kimya kimya nipe zile zako
Mie kwenye floor
Kuja nicheze nawe iyee

Coz boy am on fire uchomi iko juu
Mi nishajimwaya kwa makarafuu, barafu
Ushaniweza wee iye iye iyee

Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta(Mmmh)

Unajua unapitiliza
Ongeza utundu beiby koleza
Nifanye zuzu kwako zezeta Aaah

Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi (Nicheze, nicheze nicheze)
Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi
Nicheze, nicheze nicheze
Nichezee, nichezee, nichezee

Nicheze kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Kisha tudigi digi (Nicheze, nicheze nicheze)
Kama lamba lolo(Nicheze)
Wiki kwa mutima wangu(Nicheze)
Tucheze kama jigi jigi (Nicheze, nicheze nicheze)
Nichezee Kama unavyocheza klabu nicheze
Nichezee  Kama unavyocheza klabu nicheze

Nicheze, nicheze

 

Jovial – Deejay (Official Video)

Latest African Music Here

Follow Jovial on Instagram: https://www.instagram.com/jovial_ke/

Hope you enjoyed our Jovial Deejay Lyrics

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version