Nisiagize vibaba nivute shehena
Hunipati vibaba vikao Serena
usifanye vishow soo tujaze arena
Tusikwame ki-Bongo, ki-Zari na Wema
Yoh, am not guilty you got to feel me
Ukata ni disaster, you feel me
Ushanta ni kupata mjini
La sivyo, utazima data mjini
Nyumbani nanga inapaa, Game loaded chapaa
Hewani mi ndo nakam, Hapa mchezoni papa
Hapa ulingoni baba, Nalea wengi kwa mtaa
Leta utambale kaka, Sio kila siku hunogea
Unapokamata mchele, Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo So now here we go
Unapokamata mchele, Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo So now here we go
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Eeey baze tui namanga na mpaka banga imezidi
Plus na waganga mkiganga hatuoni ligi
Plus Instagram na huko Twitter magwiji
Mkidanganyana eti mnachukuaga vijiji
Eti Weusi basi Lunya tukiwakata Lunya
Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya
Nini mnastaajabu leo Joh kazi na Lunya
Nyinyi mna maajabu gani? Msotaka kuvuma
Tunaondoka hapo sasa Si ndo si mambo sasa
Tuliondoka hapo kaka Tunakusanya za pale
Tunapitia za hapa Tunakulaga pa hapa
RIP mutaapa(RIP mutaapa)
Unapokamata mchele Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo So now here we go
Unapokamata mchele Duniani ka paradiso
Na ukichacha mizozo mizozo So now here we go
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)
Here we go ooh ooh(Huko huko)