Goodluck Gozbert Umeshinda Yesu Lyrics:
Huraaah!
Nikitembea, naona
Baraka, naona
Ooh kupona, naona
Heh, umeshinda Yesu
Nikitembea, naona
Baraka, naona
Ooh kupona, naona
Heeh, umeshinda Yesu(eeh)
Umefanya mengi
Yaliyo nje ya fahamu zetu
Ya kushidwa mtu
Ukautwaa utukufu mkuu
Si wamashaka
Si wasi wasi
Ukishatenda inabaki kuwa
Ushuhuda mkuu
Yale umefanya,
Yamebadilisha na majina yetu
Toka kuchekwa, umeweka kicheko
Waganga walitutesa,
Hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema,
Yakwamba imeshindikana
Ila kwa damu ya dhamani
Ya Yesu umeturejesha
Na nimeona, oooh nimeona
Umeshinda
Nikitembea, naona
Baraka, naona
Ooh kupona, naona
Hee, umeshinda Yesu
Nikitembea woah, naona
Baraka, naona
Heeh kupona, naona
Heeh umeshinda Yesu
Nikitembea woah, naona
Baraka, naona
Heeh kupona, naona
Heeh umeshinda Yesu eeeh
Yesu! Yesu! Yesu!
Jina lako ni tamu
Hata kwa magumu
Bado jina ni tamu
Eeeh, linaondoa magonjwa, ni Yesu!
Kiboko ya uchawi, ni Yesu!
Fufua na watu, ni Yesu!
Tetemesha, ni Yesu!
Lina pasua miamba, ni Yesu!
Vunja ngome kuzimu, ni Yesu!
Tuna ujasiri, ni Yesu!
Wewe ni Mungu, ni Yesu!
Baharini kimya, mwanaume eeh
Maana yeye ni mfalme, mwanaume eeh
Dunia nzima yatii, mwanaume eeh
Hakuna wa ku-pinga Yesu, mwanaume eeh
Anatawala, mwanaume eeh
Jemedari wa vita, mwanaume eeh
Yeye yeye yeye, mwanaume eeh
Ni simba wa Yudah, haa hee hahe hahe
Yesu wee, haa hee hahe hahe
Yesu wee, haa hee hahe hahe
Yesu wee, haa hee hahe hahe
Yesu wee,
Ooh asantem naoma
Kupona, naona
Naona, umeshinda Yesu
Kwa macho nimeona watu
Wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu
Wakifunguliwa vifungo
Kwa macho nimeona watu
Wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu
Wakifunguliwa vifungo
Waganga walitutesa,
Hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema,
Yakwamba imeshindikana
You are number one
You are number one
You are number one
Sina mwingine
Heeh eeh, heeh eeh
Kweli nimeona, heeh eeh
kweli nimeona, heeh eeh
Wala sihitaji kusimuliwa
Matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa
Maana ninaona
Wala sihitaji kusimuliwa
Matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa
Maana ninaona
I love you
Heeh eeh…aaah
Haa hee hahe hahe
Kupona, haa hee hahe hahe
Eeeh Kupona, haa hee hahe hahe
Na umeshinda Yesu
Goodluck Gozbert Umeshinda Yesu Lyrics

We hope you Liked our Goodluck Gozbert Umeshinda Yesu Lyrics!