LYRICS

Fena Gitu – Siri

Published

on

Fena Gitu Siri Lyrics:

Sitaki mimi kufanya makosa
Penzi hili linafanya nakosa huh
Sikiri, nikikiri siri
Nitadhiri wawili
Akili zitaoza

Marafiki watazidi ongea
Wanafiki wazidi kuombewa
Usikiri, Usikiri siri
Wacha ibaki hivi, kati wewe na mimi

Hivi ndivo naona
Vile naona
Hivi ndivo naona
Vile naona

Usikiri Siri, usikiri siri
Ukikiri siri, usikiri siri
Hivi ndivo naona
Vile naona

Keep it between me and you
Nobody affi know what we do
Are we fooling around, are we cheating?
But your forbidden fruit so sweet

I wanna scream it out loud
Everytime you take it down low
On the low, on the low

Latest African Music

Usikiri Siri, usikiri siri
Ukikiri siri, usikiri siri
Hivi ndivo naona
Vile naiona

Ona vile Nai, ona vile Nai
Ona vile Nai, naiona vile Nai
Ona vile Nai, ona vile Nai
Ona vile Nai, naiona vile Nai

Ona vile Nai, ona vile Nai
Ona vile Nai, naiona vile Nai
Ona vile Nai, ona vile Nai
Ona vile Nai, naiona vile Nai

Hope you Liked our Fena Gitu Siri Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version