MUSIC

Ethic – Vanilla

Published

on

Ethic Vanilla Lyrics:

Na kihanjam kina chujwa na debe
Na ukipata pata pata papasa
Ni mangata ya kukata na dasha
Ku watepa ndo walenje isepe

Ni kukata ndo empepe isepe
Kuzitoka ndo walenje isepe
Niko mnboka chaji cheki kamenje
Na madoba zina chorwa ni genje

Latest Ethic Entertainment Songs

Kam nikufix jo miti ni dawa
Kam nikufix jo miti ni dawa
Kam nikufix jo miti ni dawa
Kam nikufix jo miti ni dawa

Ati, ati mi nisha bonga
Nisha bonga na ganji ni madollar
Ma doh alafu nani ni customer
Uyo ndo mi sitaki na chomoka

Ju toto yako anakaa nigga (Eeeh)
Wangu ni ka vanilla ( Eeeh)
Hata bila filter (Eeeh)
Bado ni malkia-ia-ia

Msho achoree salon akazidi kinyozi
Na aende atae apunguze ngozi
Chumvi kiland siupika na machozi
Guil ikiburn io ndo issa tuko nose

Mi husahao namgotea aje buda
Hua ajam anajibu aje bazeng
Tuko walevi na bado hakui msupa
Anaeza ingia gents ju anaka tu buda

Ati, ati mi nisha bonga
Nisha bonga na ganji ni madollar
Ma doh alafu nani ni customer
Uyo ndo mi sitaki na chomoka

Ju toto yako anakaa nigga (Eeeh)
Wangu ni ka vanilla ( Eeeh)
Hata bila filter (Eeeh)
Bado ni malkia-ia-ia….

Ethic Vanilla Lyrics

We Hope you Liked our Ethic Vanilla Lyrics!

 

 

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version