MUSIC

Ethic Figa

Published

on

Ethic Figa Lyrics:

Kwanza venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai Me hupenda napenda Ah,
me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Ringi ndani ya goro
Alafu akuwe solo Kwanza akiwa momo
Buda na mchongoa Macho zako ndogo chongo
Mlami mboko mpaka usogo

Dem akiwa campo ana stone proper
Alafu akiwa vajo anadondosa
Pale down town na anadondosa Pale down, pale down kudondosa
Venye umejibebanga Me hudai, me hudai Me hupenda napenda

Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda Ah, me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda)

Niko kidalio shamba nachuna mboga
Leta jaza kwa chupa ya Jonnie Walker
Mi natakia mayeng mula rieng
Nazichuna kama Matiang’i Ni kunyanda upigwe mboka

Kuku manga kwa tools zangu za mogoka
Hakuna panya, so paka atakula nyoka
Wakitaka kitanda niko na sofa
Chapa chapa ukichapa, naachia ngoma

Venye umejibebanga Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Figa fire yaani dangerous Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda Ah, me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda)

Kwa mbulu, looku, washa kindukulu
Kam tu kejani nikupige maviboko
Pale Instagram, tunachachisha na kimboto
Venye unawatesa mi napenda mangoko, mangoto, malocal

Latest Ethic Entertainment Songs

Siko kwa mbosho, orosho
Madiva zimebude na ni koro
Kulamba mororo, fika ndono juu ya koto
Vurugu kukaba kwa kina mahuru
Kwanza venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai Me hupenda napenda Ah,
me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)
Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Ethic Entertainment – Figa [Official Music Video]

Latest African Music Here

FOLLOW ETHIC ON:

INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ethicentertainment/

FACEBOOK: https://www.facebook.com/Ethic-entertainment

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version