MUSIC

Ethic – Chapa Chapa

Published

on

Ethic Chapa Chapa Lyrics:

Nikichapa naichapanga jo tena
Nikichapa naichapanga jo tena

(Motif di Don)

Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva

Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Cheki na nani na ni otero
Cheki Idah wanadandia akaambie pero
Ka ni kus nataka nikaambie Shiro
Na shiro ananishow ana mashiro

Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Bro zikishika achanga wana

Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva

Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Pikapika, ringa, lima lima
Piga mimba, chimba, kemba pima
Vimba vimba, lima, zima zima
Simba ringa, bomper, vimba dinga

Mzinga kinda, dinda, vako pinga
Vanga manga, shada, nyanya ndaka
Unaeza lamba, bamba, mbao saka
Chimba chimba, zika, banananaaaa

Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva

Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Pako ya kondiko na ya kahawa
Safisha rungu alafu maliza na madawa
Usishike tire na manjoti we nawa Kula kula style ya
chura, kula style ya swala

Leo stoki mbata Leo shang’i inang’aa
Pongi haiezi isha Naichapa lala
Ati imwage malaa  Ukichoka lala
Nikundaka lala Nawavua kumbe nanga zimeparara

Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva

Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Latest Ethic Entertainment Songs

Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali hata rangi mi nakemba
Bado gari ni gari kwa dereva

Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na nikichapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena

Leo stoki mbata  Leo shang’i inang’aa
Pongi haiezi isha Naichapa lala
Ati imwage malaa  Ukichoka lala
Nikundaka lala Nawavua kumbe nanga zimepararara

Digithia Digithia Digithia wana
Digithia Digithia Digithia wana
Digithia Digithia Digithia wana
Bro zikishika achanga wana

Ethic – Chapa Chapa lyrics

Follow Ethic Entertainment on Instagram: https://www.instagram.com/ethicentertainment/

Hope you liked our Ethic Chapa Chapa Lyrics!

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version