Mola amekaumba
Kana kichuguu
Na vinido dede
Sura mviringo
Zigo linayumba yumba
Chini na juu
amejaza mkebe
Kananivunja shingo
Kameshonea rangi akitoka Dubai Ooh Dubai,
ananichanganya
Namganda kama ng’ombe na masai Oooh masai,
hasi na chanya Eeeh,
basi twende sawa
Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde
Jifanye umepagawa Inde mama
inde Fanya wainuka ipinde
Inde mama inde Eeeh!
Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa
Anavyokata nyonga Balaa, balaa Mmmh!
Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa
Ugali anavyosonga Balaa,
Katoto kachanganya na usomali
Hata akidinda mwana atanoga mwali
Na akidondondo, kidondo mwali
Na mi nashindilia ka msumari
Katoto kachanganya na usomali
ana akidinda mwana atanoga mwali
Na akidondondo, kidondo mwali
Na mi nashindilia ka msumari
Katoto kana changale Inawaka waka inawaka
Mapaja ndondo falale Natapa tapa natapa
Na kegeza kama kamale Inanata nata inanata
Dibwi kama nipo madale Nachapa chapa nachapa
Akinipaga sikatai(Naichope)
Natimbua papai(Naichope)
Yaani mbwai mbwai(Naichope)
Naipiga nailamba naiganda Naikaza ngingingi(Naichope)
Yaani ndindindi(Naichope)
Utamu mbilimbi(Naichopepe)
Eeeh, basi twende sawa Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde Inde mama inde
Jifanye umepagawa Inde mama inde
Fanya wainuka ipinde Inde mama inde Eeh!
Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa
Anavyokata nyonga Balaa, balaa Mmmh!
Huyu mtoto bwana Ana balaa, balaa
Ugali anavyosonga Balaa, balaa Mmmh!