LYRICS

DK Kwenye Beat Mungu Wa Bahati

Published

on

DK Kwenye Beat Mungu Wa Bahati:

Nairobi City King Kong
Uh naskia mtoto wa Diana unaroroa eh
Unahukumu watu umekuwa Mungu eh
Unajichocha unajua buda ya Heaven ni nani eh
Umesema yako niruhusu niseme yangu eh

Naskia Ringtone chairman umemvisha kamisi
Daddy Owen aende Radio Jambo arudiane na bibi
Kabi wa Jesus sijui unamuuliza nini
Ata ka alisosi cuzo wachana na sisi

Unasema Guardian ameoa mtu anafaa kuwa guardian wake
Wako akifika 50 atakaa kama wake
Ati Seed alikataa mimba yake
Yaani bado unaamini Edgar na wanawake

Niko labour nazalisha wanao uchungu na mimi
After Mungu bahati niogope mimi
Afadhali niskie njaa nisikuskize mimi
Hauna sauti ni soul tu na umesahau dini

Mtoto wa mama sijui umekuwa mtoto wa nani?
Uliacha kuimbia baba sijui unaimbia akina nani?
Izo vitu unafanya usiweke injili ndani
Unajitafutia laana umekuwa mtu bladifakin

 

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version