Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi
Kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi
Na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu
Maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu
Shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia
Yani tam tam kama pipi
Nakuita sweet, Ah lote lote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi, Kama lote
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh
Ah ah, we tam tam kama pipi
Nakuita sweet
Ah lote lote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi
Kama lote
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh