MUSIC

Diamond Platnumz Kanyaga Lyrics

Published

on

Diamond Platnumz Kanyaga Lyrics:

Diamond Platnumz – Kanyaga (Official Audio)

Diamond Platnumz Kanyaga Lyrics:

Woo, woiyo ooh woiyo ooh

Its Platnumz, zombie
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Its S2kizzy beiby

Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi?

Kanyaga Wazee wa shombo kudandia, kanyaga
Klabu kuomba omba bia, kanyaga
Slay queens vitisho vya bandia
Ukivipa hai ati madai vinavimbia

Kanyaga! Uzushi,
Kanyaga! Mashemu feki,
Kanyaga! Nuksi,
Kanyaga! Kudadadeki,
Kanyaga! Mawifi,
Kanyaga! Mpaka ma exi,
Kanyaga! Mikosi,
Kanyaga! Woooya Kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!

Yii, Kanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga!
Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga!

Wajue hizi namba chafu
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Ooh yeah eeh

Siku hizi watu wanataka money
So nikimuita aku kosti, Kanyaga!
Kunitumia mipicha pigo gani?
Ati basi day nikuposti(Oh yeah yeah)

Kadi za harusi kuchanga changa, Kanyaga!
Wakati mwenyewe nina majanga, Kanyaga!
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga(yii)

Kama buti la mugambo, Kanyaga!
Wavuruga mipango, Kanyaga!
Wazee wa Insta michambo
Ati ‘baby niunge bando’ Kanyaga! Uzushi,
Kanyaga! Mashemu feki,
Kanyaga! Nuksi,
Kanyaga! Kudadadeki,
Kanyaga! Mawifi,
Kanyaga! Mpaka ma exi,
Kanyaga! Mikosi,
Kanyaga! Woooya Kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!

Yii, Kanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga!
Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga!

Wajue hizi namba chafu I say leeeooo..
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako
Leeeooo..
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo Tena wape na bare ,
kama wao pakasi kwako

Asa timba, timba timba(timbaaa)
Wanangu timba(timbaaa)
Wao kula kushoto(timbaaa)
Kula kulia(timbaaa)
I say timba, timba timba(timbaaa)
Oyaa wahuni timba(timbaaa)
Kama unazikili(timbaaa)
Mchaka kabisa akili(timbaaa) Kimya!

Latest African Music Here


Catch Up With Diamond Platnumz On:

Instagram: https://www.instagram.com/diamondplatnumz/

Facebook: https://twitter.com/diamondplatnumz/

Twitter: https://twitter.com/diamondplatnumz/

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version