MUSIC

Diamond Platnumz Fally Ipupa Inama Lyrics

Published

on

Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa – Inama (Official Audio)

 

Diamond Platnumz Fally Ipupa Inama Lyrics;

Ayolizer
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia

Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo

Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize Afukuzishe mwarabu
Penzi oyoyo, Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni Naishia kuwalike Insta

Hivo asiyekupenda Achana naye
Anayekupenda Pendana naye
Mambo stress Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi

Kama songi limekolea
Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo)
Oya inama(inama beiby)

Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama(inama beiby)
Ebu pinda mgongo Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo

{{Fally Ipupa}} ….

Latest African Music Here

Asa inama Ebu pinda mgongo(nakupinda mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo
Asa inama Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo

Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli Ah kiuno kifanye pedeli

Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah nyonga, na kupinda mgongo

Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare

Analishare lishare(analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare(yuko bwi)

Analishare lishare(silali)
Analishare lishare(oooh)
Yeah Samuel Etoo Didier Drogba Wasafi Fally Ipupa, the boss Tozali kolo, wakokokate(Kokate)

Huku dekeza kama mtoto

furaha unafurahia

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version