MUSIC

DARASSA Ft JUX – Leo Lyrics

Published

on

DARASSA Ft JUX Leo Lyrics:

Hello its me again
Mr Burudani, take away the pain
Pole kwa kuchelewa si unajua foleni
Nawapa vidonge kutuliza complain

Kichwa, sijabeba kama pambo
Akili, nimetega kwenye chambo
Fullu, charge na fullu bundle
Ukileta usoo, unawekwa kando

Ana maseke ukitete Muulize
ila kama mapepe Mtulize,
sema naye Oooh aaah eeeh Oooh aaah eeeh

Kama uliibiwa cheche  Imekuwa kasheshe
Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
Sema nao Oooh aaah eeeh Wadeseke Oooh aaah eeeh

Utaua ua bure sijalala Nimeficha tu makucha
Huku ndani ndo kwanza kumekucha

Vunja mifupa, waulize nani kaachiwa bucha Leo,
kama ni kishindo tingisha(leo)
Kama ni mzuka pandisha(leo)
Kama ni maji mwagika(leo)

Kama ni mnazi katika(leo)
Kama ni kishindo tingisha(leo)
Kama ni mzuka pandisha(leo)
Kama ni maji mwagika(leo)

Na kama ni mnazi katika(leo)
Kama pochi limechanika

Speaker zinakita Mbona hapata chimbika leo,
yeah yeah Mamacita,
take a picture tunahakikisha leo (leo, leo, leo, leo)

Eeeh, waweke walete mpira kati
Nimeondoka kidogo tu vagaranti
Niko online, nataka kuchati
Am not finishing, am just getting started

Mazungumzo baada ya habari
 Cheza mbali, maana hali sio shwari
Jichanganye kama kachumbari
Chumvi mpaka kwenye chai hii ya leo kali

Umebugi step ebu cheki cheki
If am not mistaken, umegeuza gazeti
Ukitaka kazi ya jeshi
Don’t forget hakuna kuku petty petty
Ana maseke ukitete Muulize

ila kama mapepe Mtulize,
sema naye Oooh aaah eeeh Oooh aaah eeeh
Kama uliibiwa cheche
 Imekuwa kasheshe
Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
Sema nao Oooh aaah eeeh Wadeseke Oooh aaah eeeh

Kama ni kishindo tingisha(leo)
Kama ni mzuka pandisha(leo)
Kama ni maji mwagika(leo)
Kama ni mnazi katika(leo)
Kama ni kishindo tingisha(leo)
Kama ni mzuka pandisha(leo)
Kama ni maji mwagika(leo)
Na kama ni mnazi katika(leo)

Kama pochi limechanika Speaker zinakita Mbona hapata chimbika leo, yeah yeah Mamacita, take a picture tunahakikisha leo (leo, leo, leo, leo)

DARASSA Ft JUX Leo Lyrics

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version