MUSIC

BEKA FLAVOUR – HAPA KAZI TU

Published

on

Beka Flavour Hapa Kazi Tu Lyrics!

Hey eeh CCM,
hapa kazi tu Hapa kazi tu

Kama kinda la ndege
Nimetuliza na CCM nyumbani
Ona wale banduku wanahanya hanya Kule vyama pinzani
Umelipata jembe Limefukia mashimo yote jamani

Wanatetemeka Magufuli hanaga upinzani
Tena, habagui kabila Jinsia wala dini
Wote sawa Wale matajiri na sisi masikini
Kajenga na barabara za chini na juu Kama zote

Usafiri wa mabawa wa Tanzania Safiri kokote
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao kibao
Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao Kivyao
Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao Yao

Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)

Kwanza wenye vyeti feki Umewapanguza aheee
Kwenye kazi hucheki Unakunja ndita
Wakina mama umewapiga jeki Kwa kuwawezesha
Wenye midogo mitaji Ushuru umefuta

Umejenga reli ooh StandardI gauge mwendo kasi
Daraja la ferry ooh Bandari zetu mambo safi
Nani nani nani eeh Asiyekupenda Magu eeh
Kweli kazi uliofanya Umefanya uchumi upande kasi eeh

Magu Magufuli eeh Asiyekupenda ni nani baba
Hapa kazi tu Tanzania ije kuwa kama mbele
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao

Wakikutia doa tutakusafisha Magufuli(Haya haya)

Latest African Music Here

Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Magu baba ongeza kasi Wale wapate wasiwasi
Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Mama Samia ongeza kasi Wale wapate wasiwasi
Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Majaliwa ongeza kasi Wale wapate wasiwasi

BEKA FLAVOUR – HAPA KAZI TU

Follow Beka Flavour on Instagram: https://www.instagram.com/bekaflavourdaily/?hl=en

Hope you Liked our Beka Flavour Hapa Kazi Tu Lyrics!

Beka Flavour Hapa Kazi Tu Lyrics!

Hey eeh CCM,
hapa kazi tu Hapa kazi tu

Kama kinda la ndege
Nimetuliza na CCM nyumbani
Ona wale banduku wanahanya hanya Kule vyama pinzani
Umelipata jembe Limefukia mashimo yote jamani

Wanatetemeka Magufuli hanaga upinzani
Tena, habagui kabila Jinsia wala dini
Wote sawa Wale matajiri na sisi masikini
Kajenga na barabara za chini na juu Kama zote

Usafiri wa mabawa wa Tanzania Safiri kokote
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao kibao
Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao Kivyao
Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao Yao

Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)
Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)

Kwanza wenye vyeti feki Umewapanguza aheee
Kwenye kazi hucheki Unakunja ndita
Wakina mama umewapiga jeki Kwa kuwawezesha
Wenye midogo mitaji Ushuru umefuta

Umejenga reli ooh StandardI gauge mwendo kasi
Daraja la ferry ooh Bandari zetu mambo safi
Nani nani nani eeh Asiyekupenda Magu eeh
Kweli kazi uliofanya Umefanya uchumi upande kasi eeh

Magu Magufuli eeh Asiyekupenda ni nani baba
Hapa kazi tu Tanzania ije kuwa kama mbele
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao
Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao

Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao Kivyao
Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao Yao

Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)
Wakikutia doa tutakusafisha Magufuli(Haya haya)
Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)

Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Magu baba ongeza kasi Wale wapate wasiwasi
Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Mama Samia ongeza kasi Wale wapate wasiwasi
Nihame niende wapi? CCM najinafasi
Majaliwa ongeza kasi Wale wapate wasiwasi

Leave a ReplyCancel reply

Trending

Exit mobile version