ASLAY Nichombeze Lyrics:
Eeh Oooh navaa suti,
tai weka sawa(sawa)
Mtoto roasti roasti yaani
kazi na dawa Kwake
sifurukuche yaani fire fire
Mtoto Ndizi karoti
helwa helwa
Mchuma nzuri na tali
bafana bafana Ah
nishamsomea dua
Aki cheat anagandana ananasana
Kiuno kama dancer waki Congo
Ana masifa akiinama
Mixer kuongea kimombo Kama kitoto cha Obama
Kitandani no longo longo(aaah…)
Kisafi no tongo tongo(aah..)
Kapewa undi katoa jambo
Mtoto ni fundi anajua mambo
Sinaga taabu baba wa kambo
Na nunua namvua namvalishaga
Ya habibi, ya habibi
Ya hayati, ya hayati
Ya habibi, ya habibi
Marashi ya moyo wangu eeh
Ya habibi (nichombeze)
Ya hayati (nilegezee)
Ya habibi(ayaya)
Tuliza mtima wangu eeeh
Mashindano, mashindano ni mazito
Hili jiko jamaa, halishikiki nila moto
Msuguano, mambo mpwito mpwito
Kiuno ni feni mama,
kitandani mafuriko
Nasimamia ukucha, usiku natetema(aah mama)
Akishikaga ukuta nashindwaga kuhema
Kazini kurudi narudigi mapema(aah mama)
Naogopa wenye nazo wasije ninyang’anya
Ninapata shida mwenzako
Ukitoka pekee yako
Usiniache nitakufa mwenzako(oooh)
Ya habibi(ooh beiby love),
ya hayati Ya habibi,
Marashi ya moyo wangu eeeh
Ya habibi nichombeze nichombeze
Ya hayati nilegeze legeze
Ya habibi usije nipoteza
Tuliza mutima wangu eeeh
Ya habibi, ya habibi Ya hayati,
we ndio wapekee Ya habibi,
aaai wewe Marashi ya moyo wangu eeh eeh
Ya habibi, nichombeze Ya hayati,
nilegezee Ya habibi, ayayaya
Tuliza mtima wangu eeeh
Shikamoo, shikamoo Shikamoo,
una ubaya gani?
Aii beiby shikamoo
Nakupa heshima, nakuamkia wee
Nakupendaa shikamoo Nakupendaa shikamoo
Nakupendaa ooh beiby shikamoo Kwa unavyonifanyia wee
Ya habibi, ya habibi Weee, ya habibi
Nichomebeze Aslay
ASLAY- Nichombeze(Official Video)
Directed by Joowzey