Aslay Chuki Lyrics
Olalala
Maadui
Wamenizidi pesa na umri
Nashangaa
Sijui au tuseme nina kiburi
Nakataa
Hawanidai siwadai
Ila nashangaa wananichukia aaah
Chuki zisizo sababu
Wana kinyambuzi kafara
Ili Aslay apotee
Ona wanavyo mwaga hela
Eeh Mungu baba unitetee
Wanamiliki mavogi vogi
Wanashindana na mi-Dangote
Wanawish hata niishiwe kodi
Nitange tange wanizomee
Mi mnyongeee
Nimlilie nani kama si wewe?
Kisa tonge
Wanapangia waniondoe
Ila mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Wanasema nalewa
Mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Eti Aslay kaishiwa
Mapumbu saba
Ridhiki unagawa tu maanani
Wengine labda
Wanataka kushindana na wewe
Mmh mpaka napiga magoti(Magoti)
Namlilia mama(Mama)
Kisha narudi kwako
Umlaze salama
Sawa nyinyi manoti noti
Tutakutana kiama
Mnyonge narudi kwako
Kwako Maulana
Wana kinyambuzi kafara
Ili Aslay apotee
Ona wanavyo mwaga hela
Eeh Mungu baba unitetee
Wanamiliki mavogi vogi
Wanashindana na mi-Dangote
Wanawish hata niishiwe kodi
Nitange tange wanizomee
Mi mnyonge
Nimlilie nani kama si wewe?
Kisa tonge
Wanapangia waniondoe
Ila mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Mi najikaza hivyo
Mi najikaza, najikaza hivyo hivyo
Wanasema nalewa
Aslay Chuki Lyrics
Follow Aslay on Instagram: https://www.instagram.com/aslayisihaka/