We nipende tu Nipe na nyota nitembelee
Wachawi viga kura Beiby tushikane tuwakemee
We ni doctor mi mgonjwa
Ndo maana nikikuona Mwenzako ninapona
Umenijaa akilini Ndo maana nakutaja Mwenzako kila ngoma
Beiby, tuifiche hiyo siri Tusionyeshe dhahiri
Huwanga wanasubiri Waone utavyonimwaga
Wa mbili awe mbili Wa kwanza tuwe wa kweli
Ah nataka ta takataa Natakata na penzi lako
Na nitadata nitadata Ukininyima hicho ulichokuwa nacho
Naridhika ridhika Naridhika na huba lako
Nakuahidi nitakufa Nikija kulikosa hilo penzi lako